3/20/2022

Steve Nyerere "Sijiuzulu na Wala Sitoki, Nina Nia ya Kuendeleza Industry ya Muziki Nchi Hii""Sijiuzulu na wala sitoki, nina nia ya kuendeleza industry ya nchi hii.” Amesema Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT) Steven Mengere, maarufu Steve Nyerere na kuongeza kwamba uteuzi wake ukitenguliwa atakwenda mahakamani.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger