Sumsung Nao Wasitisha Kuuza Simu na Bidhaa zake Nchini Urusi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kampuni ya Samsung imesitisha kuuza simu za Samsung na bidhaa zake nyingine nchini Urusi na kujiunga na Kampuni nyingine mbalimbali ambazo zimetangaza kujiondoa Urusi baada ya kuivamia kijeshi Ukraine.

Samsung wamesema "Tunaendelea kufuatilia hali hii tata ili kuona hatua nyingine ya kuchukua katika siku zijazo"

Wiki iliyopita Kampuni ya Apple pia ilifikia uamuzi huo wa kusitisha kuuza simu na bidhaa zake nchini Urusi.

Wafanyabiashara wengine wakubwa wa teknolojia kama Google na Twitter pia wamepunguza biashara zao nchini Urusi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad