3/17/2022

Takukuru Yaingilia Kati Sakata la Makonda na Ghalib Said MohamedSerikali imesema inachunguza sakata la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar, Paul Makonda na Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) kugombea kiwanja Na. 60 kilichopo Regent Estate, Manispaa ya Kinondoni


Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamduni amethibitisha kulifanyia kazi suala hilo ikiwemo kufanya uchunguzi

Naye, Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Dar, Idrisa Kayera amesema vyombo Mamlaka zinachunguza suala hilo, ikielezwa Ghalib alishatoa taarifa kuhusu kupotea Hati ya kiwanja hicho, na alipewa Nakala ya uthibitisho mwingine, akafuata taratibu za kupata hati nyingine

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger