Ujenzi Chato Airport umefikia 90%


“Mzee Magufuli alipinga rushwa na kusisitiza uchapakazi, Magufuli alitamani kuiona Tanzania iliyojikomboa kiuchumi nikasema nitaiongoza Tanzania katika mwelekeo huo, nitayaendeleza yote aliyotuachia Magufuli”
“Baadhi ya miradi aliyotuachia imekamilika, hivi karibu tutazindua Daraja la Tanzanite pale DSM ambalo ilikuwa ni ndoto ya Hayati Magufuli kuona Daraja lile linakamilika”

“Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Chato kimefikia 95% na Stendi ya Chato imefikia 90% nataka niwaahidi Wana Chato miradi hii ikikamilika nitakuja mwenyewe kuifungua kama ambavyo Hayati magufuli angekuja kufungua kama angekuwepo” ——— asema Rais Samia akiwa Chato leo kwenye mwaka mmoja wa kifo cha Hayati Dr. Magufuli.
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad