3/18/2022

UN Watoa Takwimu "Raia 700 Wakiwemo na Watoto 52 Wameuawa Tangu Urusi ilipovamia Ukraine


Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya Raia 700 wakiwemo Watoto 52 wameuawa Nchini #Ukraine tangu Urusi ilipoivamia wiki tatu zilizopita, lakini idadi hiyo huenda ikawa kubwa zaidi

Shirika la Afya Duniani (WHO) limethibitisha mashambulizi 43 dhidi ya Hospitali na Vituo vya Afya huku Watu 12 wakiuawa na 34 kujeruhiwa

Changamoto ya kukosa Huduma na Matibabu inatoa kitisho kwa Watu walio na Maradhi ya Moyo, Saratani, Kisukari, VVU na Kifua Kikuu miongoni mwa Magonjwa yanayosababisha vifo vingi Ukraine

Jamii Forums

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger