3/06/2022

Urusi Bado Wanaishambulia Ukraine Licha ya Makubaliano ya Kusitisha Kupisha Raia Kuondoka Katika Miji


Naibu Meya wa Mji wa Mariupol nchini Ukraine amesema bado Wanajeshi wa Urusi wanaendelea kushambulia Mji huo licha ya makubaliano yaliyofikiwa na Urusi na Ukraine kwamba wasitishe mapigano kwa muda mfupi katika Miji miwili ya Mariupol na Volnovakha iliyokumbwa na mapigano ili kuwaruhusu Raia kuondoka.

Naibu Meya huyo amesema zoezi la kuwasaidia Raia kuondoka salama kwenye Mji wake limesimamishwa kutokana na Urusi kukiuka makubaliano na kuendeleza mashambulizi.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger