3/04/2022

VIDEO : Mtoto wa Mbowe Azungumza Mazito Baada ya Baba yake Kuachiwa HuruKutokea Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake kuachia huru, Wakili wake Peter Kibatala ameelezea kilochotokea mahakamani.

Mbowe na wenzake watatu wameachiwa huru, mbele ya Jaji Joachim Tiganga baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini DPP, kusema hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yao katika kesi ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi nambari 16 ya mwaka 2021.

Ayo TV & Millardayo.com iko Mubashara muda huu unaweza ukabonyeza play kutazama.

VIDEO:
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger