Breaking : Mwanamuziki Maunda Zorro Afariki DUNIA Kwa Ajali ya Gari

Breaking News: Mwanamuziki Maunda Zorro Afariki DUNIA Kwa Ajali ya Gari

Maunda Zorro, mtoto wa muimbaji nguli wa muziki Zahir Ally Zorro na mdogo wake Banana Zorro amefariki duniani usiku wa kuamkia Alhamis ya April 14 baada ya gari alilokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es Salaam

Katika ya Watu wa Mwanzo kabisa waliotoa taarifa hii kupitia mtandaoni ni Diva loveness alieandika haya: 
From @divatheebawse my baby!. hope this is not true @maundazorro yan i hope this is not true at all .. nimepokea taarifa ya msiba wa moja kati ya watu nawafahamu kwa muda mrefu iliotokana na ajali ya gari usiku huu kigamboni, maunda zahir ally zoro This realy hurts me ... Im in shock. nashindwa ata kulala jaman 😭😭 Maunda amefariki kwa ajali ya gari kigambon usiku huu ilikuwa saa 6 usiku, iknew maunda kupitia THT tulikuwa wote, she was so talented, banana na mzee zahir ali zorro i don kno what to say im in shock 😭 @djkidylax kapiga wimbo wako leo usiku kumbe ndio tulikuwa tunakuaga!. roho inauma Yarab 😭😭  
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad