4/23/2022

Aika wa Navykenzo Afunguka Kusumbuliwa na Ugonjwa wa Goita Kwa Muda Mrefu Bila Kujua

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPA


Star Wa Muziki Nchini 🇹🇿 @aikanavykenzo Kutoka Kundi La Muziki (@navykenzoofficial) Ameweka Wazi Kuwa Alikuwa Akisumbuliwa Na Ugonjwa Wa Goita Kwa Muda Mrefu Bila Ya Kujua

#Aika Amethibitisha Hilo Kupitia account Yake Ya Snapchat Usiku Wa Jana 👇

"Nimekua Nikiishi Na Goita Muda Mrefu Bila Kujua Watu Walikua Wananisifia Nina Shingo Nzuri Na Wengine Waliniambia Nina Goita Ila Nilipuuza Nimekuja Kugundua Kweli Nina Goita Na Nitaanza Matibabu Kesho (Leo) “Aikanavykenzo “

GOITA Ni Ugonjwa Wa Tezi Ya Shingo, Kwa kawaida huu ugonjwa unaletwa na upungufu wa madini aina ya iodine ambayo huzalishwa na tezi


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger