4/12/2022

Amshtaki jirani yake kwa kufunga CCTVMwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Kennedy Ondieki amemshtaki jirani yake Hellen Maeda kwa kufunga kamera ya CCTV kwenye nyumba ya makazi wanayoishi iliyopo eneo la Kilimani Nairobi, nchini Kenya ambapo mwanaume huyo amedai kuwa kamera hiyo iliyofungwa kwenye nyumba ghorofa(Apartments) wanamoishi inaingilia faragha yake hivyo ameiomba mahakama kumuamuru jirani yake kuiondoa kamera hiyo huku akiongeza kuwa anaogopa na hawezi kufurahia faragha yake kwa amani.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger