4/14/2022

Ashindwa kulipa bili ya mpenzi wake hotelini

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPA

  


Mwanaume mmoja nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Henry Ochola Midiwo anashtakiwa kwa kushindwa kulipa bili ya Ksh 7000 sawa na Tsh 140,838 kwa kuigiza chakula na pombe kali hotelini akiwa na mpenzi wake.

Henry ameachiwa kwa dhamana ya Ksh 200,000 na kesi yake inatarajiwa kusikilizwa April 25 mwaka huu.

Henry alifika hotelini akiwa na mwanamke ambaye aliagiza chakula na pombe kali kisha wakaelekea chumbani pamoja. Baada ya masaa kadhaa alipelekewa bili yake na hakuwa na uwezo wa kuilipa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger