Kutoka kwa rapper @billnass ameamua kueleza kumuhonga /kumpatia mpenzi wake #Nandy instagram account yake ili aweze kuitumia katika wakati huu ambao account yake ime dukuliwa.
Nenga ameeleza kuwa kwa sasa yeye atapatikana katika account ya duka lake la Nengatronic
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE
0 Blogger:
Post a Comment