Ni wazi bondia #HassanMwakinyo hataki kabisa kusikia kuhusu kupambana na bondia mwenzake mtanzania kutoka morogoro #TwahaKiduku mara baada ya moja kati ya mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa instagram kumuuliza swali kuhusu kupambana na bondia huyo.
Mara kadhaa Mwakinyo ametaja kutotaka kupambana n bondia huyo aliyejizolea umaarufu zaidi mara baada ya pambano lake na bondia #DullaMbabe.
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA