4/09/2022

Chris Brown Atuonesha Mtoto Wake Kwa Mara ya KwanzaKwa mara ya kwanza mwanamuziki kutoka +1 Marekani @chrisbrownofficial ameshare picha ya mtoto wake wa kike ambae ni mtoto wake wa 3' ambae ametimiza miezi mitatu sasa aliye zaa na mrembo @diamondbrown.

Mpaka sasa Breezy ana jumla ya watoto wa3 ambao ni Royalty, Aeko Catori Brown na huyu wa sasa ambao kila mMoja ana mama yake.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger