Diamond Kwenye Orodha ya Mastaa Africa Wenye TUZO Nyingi za MTV EMAs

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Supastaa @diamondplatnumz ametajwa na Jarida la Africa Facts Zone kama miongoni mwa wasanii wenye tuzo nyingi za MTV EMAs Afrika akiwa na jumla ya tuzo mbili (2014 & 2015).

Diamond anaungana na wakali wengine kama @davido, @wizkidayo na @D'banj kutoka Nigeria wote wakiwa na jumla ya tuzo mbilimbili katika Orodha hiyo.


Diamond ambaye ni miongoni mwa watu waliopewa tuzo za heshima katika utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2021 zilizofanyika Aprili 2, 2022 alitoka rasmi kimuziki mwaka 2009.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad