AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii @diamondplatumz ametoa pongezi kwa @masoudkipanya baada ya kuzindua gari alilolitengeneza mwenyewe.
“Proud of you my brother @masoudkipanya Gari hili ni fahari si kwako tu,bali ni kwa Taifa zima la Tanzania
Kupitia hili umeongeza chachu kwa vijana wengi kuamini kuwa hata sisi watanzania tuna thamani na tunaweza fanya mambo makubwa” - Diamond Platnumz
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK