4/26/2022

Diva Loveness Athibitisha Kutotumia Tena Jina la Baba yake, Sasa Kutumia la Mumewe


Kutoka instagram page ya mtangazaji wa Wasafi media @divatheebawse ameweka wazi kuwa baada ha maisha yake mapya ya ndoa ameamua kubadilisha jina lake na kuondoa (surname) utambulisho wa jina la baba yake na kutumia jina la mume wake Abdulrazaak .


Ameandika haya:
Baada Ya Maisha Yangu Mapya Ya Ndoa. Nimebadilisha Jina Langu Kisheria Kabisa. Nafahamika Kama Diva Raihannah Gissele Abdulrazaak. Kwenye ID Yangu Mpya itaambatana na Legal Names Diva Raihannah Gissele. National ID ikiisha Muda wake I wil Remove Malinzi as my surname as well.
Pili Dini Yangu sio Mkristo Tena Bali Muislamu. Jina La Malinzi Sitalitumia Tena na ata baadhi Ya Vitu zangu zitakuwa na Middle name ya Raihannah.
Isa new life ... brand new life. this is the last time having change of names legal!.
thanks 😘

Hiii si mara ha kwanza kwa mtangazaji huyo maarufu wa vipindi vya mahusiano ku adilisha jina lake kisheria .

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger