4/09/2022

Haji Manara "Yanga Tusipochukua Ubingwa Nahama nchi"Yanga tusipochukua Ubingwa nahama nchi, Naongea kwa kinywa kipana na Jeuri inayotokana na Performance yetu, huku nikikiangalia kikosi chetu,,kisha nikiziangalia dhamira za Wanayanga, Ubingwa wa msimu wa 2021 /22 utakwenda Jangwani,,Insha'Allah.

Narudia na kurudia na kurudia tena, Young Africans SC, Mabingwa mara Ishirini na Saba wa Taifa hili wanakwenda kuongeza Taji lingine la ufalme Msimu huu,,Insha'Allah.

Namba na Takwimu za sasa katika ligi kuu,bubora wa Mchezaji mmoja mmoja, Squad yetu , Mipango na Maandalizi yetu + Ari ya kila Mwananchi,,,nitaukana Utanzania wangu niupendao sana iwapo tutashindwa kubeba Ndoo yetu.

Kumbuka, @Yangasc ndio Champions of all time wa Tanzania, tunajua raha ya ubingwa kuliko Club yoyote nchi hii, Kombe la Premier League limeimiss zaidi Young Africans kuliko Sisi tulivyolimiss, So,hilo Kombe lenyew haliwezi kukubali kuendelea kupotea njia tena this season.

Kwanza kiasili mimi na Mataji ni Damu Damu na Sipo Yanga kuuza Sura,,,I repeat,,NTAVAA MEDALI YA UFALME WA SOKA WA TANZANIA MSIMU Huu..... Insha'Allah 🙏🏻🙏🏻

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger