4/13/2022

Hamisa Mobetto Ajibu Kuhusu Kufilisika na Kufunga Duka

  


Msanii na mwanamitindo Hamisa Mobetto amesema hajawahi kuwa tajiri kwenye maisha yake ndio maana anapambana ila sio kama amefilisika baada ya duka lake la Mwananyamala kufungwa.

Hamisa Mobetto ameongeza kusema duka lake limefungwa kwa sababu ya kuhamishiwa sehemu nyingine sio kwamba amefilisika baada ya kulifunga

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger