Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>
#SNSEnt: Supastaa @harmonize_tz hatimaye amefunguka kufuatia maoni mbalimbali anayoyapata baada ya video mpya ya wimbo wake "Mdomo" wimbo ambao unapatikana kwenye album yake ya 'High School' kufikisha idadi ya watazamaji Milioni 1.3 ndani ya sekunde 34 tu katika mtandao wa youtube.
Harmonize amechomoa madai ya kununua views youtube hasa kwenye video hiyo akisema wengi hawathamini jitahada zake katika muziki. Haya yote yanayotokea, ni nguvu ya mashabiki wake mtaani wanayompatia. Ameeleza kupitia insta story.
"Konde Boy ndio anahela kuliko wasanii wote duniani!" - amehoji Harmonize akiendelea "Hizo kelele tushazizoea". Aidha, ameweka wazi kesho itatoka kolabo yake mpya na msanii wa hapa nchini.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Comments