4/26/2022

Hatimaye Channels za YouTube za Diamond, Mbosso na Rayvanny Zimerudishwa


Good news kwa mashabiki wa wasanii @diamondplatnumz @rayvanny na @mbosso_ kuwa channel za wasanii hao za youtube zimerudi kama zilivyokuwa awali baada kuwa zimedukuliwa (hacked).

Kwa sasa unaweza kutazama video zote za wasanii hao kupitia channe zao rasmi za mtandao wa youtube.

Itakumbukwa channel za youtube za wakali hao zilidukuliwa mapema asubuhi ya leo na kupandishwa maudhui ya kampuni ya magari TESLA inayomilikiwa na tajiri Elon Musk ambaye pia aliingia LIVE kwenye channel hizo ambazo pia zilibadishwa majina pamoja na picha za profile.

Hata hivyo leo imekuwa ni mara ya kwanza kwa channel ya Rayvanny kudukuliwa ambapo ni mara ya pili kwa Mbosso na Diamond channel zao za youtube kudukuliwa.

✍️: @omaryramsey

#SNSEnt

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger