4/30/2022

Hatimaye Msemaji wa SIMBA Amjibu Haji Manara "Tuna Hamu Sana Nanyi Tukutane Kwa Mkapa"


Anaandika Msemaji Wa Klabu Ya @simbasctanzania @ahmedally_ Katika IG Yake............." Nilivyoambiwa tuchukue kalamu na karatasi tujifunze Promo fasta fasta nikaagiza Counter Book Quire 4 mwisho wa siku ooh Simba mna roho mbaya hamfanyi Promo sasa tutafanyaje promo wakati tunaandika yaan mnataka tuimbe huku tunapiga mluzi inawezekana vipi😄🤷.???

Sasa tukutane Benjamin Mkapa tukaoneshane kazi tunahamu sana na nyie''

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger