4/14/2022

Hili Ndilo Kosa Alilofanya Benard Morrison South Africa na Kupigwa Marufuku Kuingia Nchi Hiyo


“Morrison ana shida zake binafsi na mamlaka ya uhamiaji ya Afrika Kusini na kosa alilofanya aliover stay…yaani muda wake wa kuishi Afrika Kusini uliisha, amefungiwa Kama sikosei ni miaka 5 kuingia Afrika Kusini kutokana na hiyo kesi yake.

“Kama Simba tulijaribu kuingilia kati kuhakikisha ni Kwa namna gani suala hili linamalizika lakini kumekuwa na ugumu kidogo kwa hiyo sisi Kama Simba tumeamua ku-give up na kwa mantiki hiyo Bernard hatakuwa sehemu ya kikosi pindi tutakapoelekea Afrika Kusini kwenye mechi ya marudiano,” Meneja Habari na Mawasiliano wa @simbasctanzania @ahmedally_

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger