AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kanya Boya ni bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Burundi. Bondia huyu Felix Kanyaboya kati ya Miaka ya 1986 / 1987 alikuja kucheza Tanzania , Alikuwa anafikia Hotel za
Kariakoo.
Bondia huyu alikuwa na Mikwara mingi saana na siku ya Mechi anatoka Hotelini Kariakoo anatembea kwa Miguu akiwa kavalia kabisa Gloves , ring bout, Gum shield, anapiga shadow box njia nzima na watu wanamshangilia mpaka Railways Club Gerezani. Akipanda Ulingoni Round zake 2 tu kapigwa KO mbaya na akina Habibu Kinyogoli, na Omary Yazidu. Ndipo Jina lake likavuma kama *KANYABOYA* NI KUMBUKUMBU TU Kutoka Maktaba.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK