4/18/2022

Ibada Yavunjika Kanisa la KKKT Baada ya Kutokea VuruguBaadhi ya Waumini wa Usharika wa Mbalizi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde, jana Aprili 17, 2022 walimzuia mchungaji, Atupele Mlawa kuingia Kanisani wakimtuhumu kutumia vibaya mali za kanisa

Waumini hao walimtaka Mchungaji Lusajo Sanga aliyechaguliwa Machi 22, 2022 chini ya Kiongozi wa Kanisa hilo Nchini, Dkt. Fredrick Shoo

Jeshi la Polisi lilikamata baadhi ya Viongozi wa kanisa hilo huku Kamanda wa Polisi Mbeya, Ulrich Matei akisema "Tumewaambia viongozi tuliowakamata waende Mahakamani wamalize mgogoro. Tusichotaka kusikia ni uvunjifu wa amani"

#JamiiForums

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger