AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Instagram account ya mwanamuziki ya mwanamuziki #Nandy imetoweka ghafla katika mtandao huo ,ikiwa na jumla ya wafuasi million 6.3.
Bado haijawekwa wazi mpaka sasa ni sababu gani zimefanya account ya mwanamuziki huyo kutoweka katika mtandao huo maarufu duniani.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK