4/20/2022

Jamaa Afariki Akiigiiza Mateso ya Yesu Ijumaa KuuMwanafunzi Suel Ambrose, (25) kutoka Chuo Kikuu cha Clariantian nchini Nigeria inaripotiwa alifariki wakati akiigiza mateso ya Yesu siku ya Ijumaa kuu.
Suel alianguka ghafla wakati akiigiza sehemu ya kusulubiwa msalabani ambapo watazamaji walidhani ni sehemu ya igizo ila baadae ikaripotiwa kuwa amefariki kweli.

Inasemekana mkasa huo ulitokea siku ya Ijumaa Kuu na watu waliokuwa wakitazama tamthilia hiyo kwanza walidhani ni "utani" na sehemu ya onyesho hilo.

Vyombo vya habari nchini Nigeria vinaripoti kuwa mwanafunzi huyo alianza kuvuja damu baada ya kuanguka na watu wakagundua kuwa haikuwa mzaha na kukimbizwa hospitali na baada ya muda alifariki

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger