JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Anaitwa Muima, kijana wa miaka 25 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo aliyezama katika penzi la Theresa bibi wa miaka 85.
Pamoja na kupishana umri wa miaka 60, wawili hawa wanapendana sana na wenyewe wanakuambia umri ni namba tu kwao.
0 Blogger:
Post a Comment