4/14/2022

Kimeuna...Lemutuz Amshukia Ukweli Mchungu Rafiki Yake PAUL Makonda "Kuna Watu Wengi Umewakosea Waombe Radhi"SUPERBRAND!: ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE! WARAKA WANGU LIVE  KWA NDUGU YANGU MARKO: Nimeusoma kwa MASIKITIKO MAKUBWA SANA WARAKA WAKO WA Baadhi ya Makundi katika Jamii kutaka KUKUMALIZA NA HASA KUKUNYONGA....NINAANDIKA WARAKA huu  KWA SABABU YA MY AMERICAN SPIRIT ni kwamba wewe ni Ndugu yangu sana SIJASAHAU the FACT That kuna WAKATI ULIKUWA UNANIAMINI MPAKA KUTOKA NA KUNIACHIA KINYWAJI CHAKO NA UKIRUDI UNAENDELEA NACHO ..Ninakumbuka jinsi ULIVYONIPELEKA MPAKA KWENYE FAMILIA YAKO NA KUWAASA KWAMBA MIMI NI NDUGU YAKO na IKITOKEA UMEKUFA KWA SUMU MIMI NDIYE NILAUMIWE CAUSE NDIYE RAFIKI ULIYEKUWA UKINIAMINI 100%......SERIOUSLY Wakati umefika kwa WATU WALIOKUWA KARIBU YAKO LIKE ME KUKUAMBIA UKWELI AMBAO NINAAMINI KWANZA UNAWEZA KUKUSAIDIA WEWE NA JAMII AT LARGE AMBAYO BADO INAHANGAIKA KUELEWA UNAYOYAPITIA ......NA NINAKUANDIKIA KWA NIA NJEMA KABISA ILI KUKUSAIDIA TU! ....NI kwamba mimi na wewe tulikutana Mwaka 2012 kwa mara ya kwanza uso kwa uso wewe ukiwa unagombea UKUU WA UVCCM TAIFA na mimi ninagombea UBUNGE WA EAST AFRIKA ....na tulikutanishwa sana na Marehemu Masaburi kwenye Vikao vya kutafuta KURA ....Baada ya Uchaguzi ndipo TULIPOANZA KUWA KARIBU SANA ....Then ukawa DC WA Kinondoni ninakumbuka nilivyopigana sana na @stevenyere2 KUKUFANYIA DINNER PARTY YA KUKUPONGEZA tukiwa na MFADHILI  WA ILE PARTY .....MAMBO YALIKUWA POA KABISA TUKAWA TUNAHANGAIKA PAMOJA KUTAFUTA WAFADHILI WA MIRADI MIRADI YAKO MINGI KAMA DC NA SIKU ZOTE TULIFANIKIWA KWA SABABU .....TABIA YAKO ILIKUA PERFECT .......Kwangu Urafiki uliongezeka Pale siku moja BABA YANGU MZAZI ALIPONIOMBA NIKUPIGANIE BAADA YA KUMSHAMBULIA LOWASSA  ambapo ni kama Dunia nzima ILIKUKIMBIA .....NIKAANZA KUKUPIGANIA KWENYE SOCIAL MEDIA ....ULIKUWA BINADAM NA KIONGOZI WA KWELI KWA SABABU ULIKUWA HUMBLE NA ULISIKILIZA SHIDA YA KILA MTU TULIYEMLETA KWAKO .....LAKINI YOTE HAYO MAZURI YAKABADILIKA SIKU ULIPOPATA UKUU WA MKOA WA DAR Ndipo pole pole BINAFSI nikaanza kuiona TABIA YAKO MPYA KABISA AMBAYO NIKUAMBIE UKWELI NDUGU YANGU NDIYO INAYOKUGHARIMU SANA LEO ....ULIANZA TABIA YA KUMDHARAU KILA MTU IWE KIONGOZI WA JUU AU WA CHINI ....Isipokuwa ULIMHESHIMU RAIS CHUMA PEKE YAKE ....

Ndugu yangu Marko Kosa lako kubwa sana liliokuletea haya MATUNDA MABOVU YANAYOKUSUMBUA leo ...NI HUKUWA NA HESHIMA KWA VIONGOZI WENZAKO ....Maandishi yako YANANISIKITISHA SANA cause HUONEKANI KUELEWA TATIZO LAKO MWENYEWE sasa kama kawaida UNAANZA KULAUMU MAKUNDI YANAYOTAKA KUKUMALIZA Ungejiuliza Swali moj a la msingi kabla ya kukimbilia kulalamika Instagram ....HIVI NI WEWE PEKE YAKO NDIYE ULIYEKUWA KARIBU NA CHUMA? kwani Waziri Mkuu hakufanya kazi Karibu na "CHUMA?" Kwani Rais wa sasa hakufanya kazi Karibu na "CHUMA" ...Mbona hakuna MAKUNDI YANAYOPANGA KUWAMALIZA KWENYE JAMII ISIPOKUWA WEWE TU? ....Ndugu yangu MTAFUTE MUNGU MPIGIE MAGOTI AKUSAMEHE MAKOSA ULIYOWAFANYIA KWANZA VIONGOZI WENZAKO .....Narudia tena mimi nilikuwa mtu wako wa Karibu sana KOSA LAKO LA KWANZA UNALOTAKIWA KUUNGAMA MBELE YA PUBLIC NI KUWAKOSEA ADABU VIONGOZI WAKUBWA WENGI WA TAIFA ....TAFUTA VIONGOZI WA DINI WAKUSAIDIE KUWAFIKIA UWAOMBE RADHI KWA UKOSEFU WAKO WA ADABU MIMI NI SHAHIDI ULIWADHARAU SANA .....Kwa mfano VITA YAKO NA MAKAMU WA RAIS DR. MPANGO ....Mwishoni mwa ile Vita mimi niligundua kwamba ULIKUWA NA MAKOSA kwa sababu "CHUMA" Aliniambia kwa simu akiwa Chato kwamba "NI WAZIRI WA FEDHA PEKE YAKE NDIYE MWENYE MAMLAKA YA KUSAMEHE KODI" ...Nikaamua kumuandikia Waziri Mpango WARAKA WA KUMUOMBA RADHI IN the PUBLIC kama "CHUMA alivyonituma .....ULIPOUONA ULE WARAKA UKANIKASIRIKA SANA HATA SHEREHE YANGU YA UZINDUZI WA KITABU CHANGU UKAGOMA KUJA KWA HASIRA ...sasa leo ungejitahidi KUWAOMBA RADHI VIONGOZI KAMA DR. MPANGO KWA JINSI ULIVYOWAKOSEA ADABU yeye na hata CAG Kichele......ninakumbuka siku moja WAZIRI WA SASA WA ARDHI alivyohangaika kukualika Sherehe yake Serena akaniomba nikufukishie ujumbe NAKUMBUKA SANA JIBU ULILONIPA yaani DHARAU NA UKOSEFU WA ADABU ......Ndugu yangu ninajua for a FACT jinsi Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne alivyokusaidia katika Maisha yako ya Siasa MPAKA AKAKUPA U DC ......lakini kumbuka uliyomlipa KUMTANGAZA MTOTO WAKE KUWA NI MUUZA UNGA ....ndugu yangu hawa wote WANAHITAJI KUOMBWA MSAMAHA WA DHATI KUTOKA MOYONI .....ndugu yangu nimeamua kuvunja ukimya baada ya kuona UNAANZA KUTOKA NJE YA MSTARI so NIKAAMINI ...

Wabongo wengi ni wapumbavu sana cause hawana uwezo mkubwa wa kufikiri na KUONA MBALI .....ETI KWANINI NINAANDIKA HAPA? So Foolish yeye kwani KAANDIKA WAPI? INBOX AU INSTAGRAM? .....ETI KWANINI HUKUMSHAURI ZAMANI kwa akili yako ndogo sana RC aliyekuwa anashindana na Mawaziri UNAWEZA KUMSHAURI NINI AKAKUSIKIA? WEWE NI NANI? ....AKILI NI MALI KILA MTU NA ZAKE ninamuandikia ndugu yangu SUPER FACTS sio kweli kwamba wote TUNAMCHUKIA ...lakini ni muhimu AKAKUBALI MAKOSA YAKE AMBAYO NDIYO YEMFIKISHA HAPO ALIPO YA KUTAKA KUMALIZWA NA BAADHI YA MAKUNDI YA JAMII KAMA NI KWELI .....Amtafute Mungu wake AMSAMEHE NA MUNGU ATAMUONYESHA NJIA YA KUWAFIKIA VIONGOZI WA JUU ALIOWAKOSEA SANA ADABU WAKATI ULE .....NI FACT HAMNA MAJUNGU na wewe Mwananchi wa kawaida kama kweli unampenda MARKO MUOMBEE AWEZE KUMUONA MUNGU AMSAMEHE ....ndugu yangu MIMI SINA TATIZO NA WEWE NEVER lakini NINAKUTANA KILA SIKU NA VIONGOZI NA WANANCHI WA KAWAIDA WENYE MATATIZOLUKUKI NA WEWE INASIKITISHA SANA WAKIANZA KUONGEA MAMBO ULIYOWAHI KUWAFANYIA .......Binafsi hukuwa kunifanyia Jambo kubwa baya na NINAKUBALI KUNA SEHEMU NYINGI ULINISAIDIA KAMA NA MIMI NILIVYOJITOA UFAHAMU KUKUPIGANIA ......lakini leo mambo yamebadilika ....NIMEAMUA KUFUPISHA WARAKA ILI KUKUPA NAFASI YA KUKITATHMIN Ndugu yangu usije ukhangaika sana na MAADUI WA NJE anza kwanza na ADUI YAKO WITHIN WEWE MWENYEWE .. KUNA VIONGOZI ULIWAKOSEA NA KUNA WANANCHI PIA ULIWAKOSEA ...SIMAMA JUU UHESABIWE WAOMBE RADHI NA HASA MUOMBE MUNGU WAKO AKUSAMEHE MAMBO MENGI SANA AMBAYO YANAKUTESA LEO BILA YA WEWE KUJUA SABABU . .....AGAIN NIMEAMUA KUKUANDIKIA KWA NIA NJEMA SANA ILI USIENDELEE KUKAA GIZANI NA KUJIDANGANYA KWAMBA UNACHUKIWA SANA ....HAPANA ....UKIKITATHMINI KWA UMAKINI SANA NI KWAMBA CHUKI NYINGI ZINAZOKUTESA LEO ULIJILETEA MWENYEWE ! Namuomba MUNGU AKUSAIDIE NA KUKUONYESHA NJIA SAHIHI YA KUPAMBANA NA MATATIZO YAKO..KUNA WATU ULIWAKOSEA WAOMBE RADHI!! - @lemutuz_superbrand  

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger