4/29/2022

Kina Mondi Wanakwama Wapi...Burna Boy Aijaza Madison Square Garden USA..Ticket Sold Out

 


Blog za Naija zinaripoti kwamba Onesho la Burna Boy limeuza tiketi zote 20,789 kwenye ukumbi maarufu wa Madson Square Garden NY kwa Mzee Biden


Swali ninalo jiuliza ni;

Je ni kweli anakubalika sana pande hizo hadi kujaza ukumbi kama akina The Weekend na Drake?

Kama ndio hawa wakina Dangote Bakhresa na King wana kwama wapi?


Au ndio kusema wingi wa Wanaijeria na ndugu zao wa Ghana kwenye diaspora huko USA ndio unao wasaidia sana

Maana nimeona sehemu wanadai 90% ya wahudhuriaji ni wanaijeria na waghana


Chambua....

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger