Mwanamke huyo wa Nigeria ambaye ana matatizo ya akili, familia na ndugu wanadaiwa kumtelekeza kwa muda sasa lakini mbwa huyo aliyekuwa akimfuga amekuwa akimtembelea mwanamke huyo mara kwa mara usiku kila anapoachiliwa kufanya doria
Licha ya kuwepo umbali kidogo lakini mbwa huyo kila siku anaenda kumuona mwanamke huyo na kucheza pamoja kwa bashasha
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Blogger:
Post a Comment