4/12/2022

Kisa Dini, Zuchu Akataa Dili la Milioni 250 Kutoka Kampuni ya Pombe


Kwa mujibu wa mtandao wa #AfricaFactZone unamtaja mwanamuziki kutoka WcB Wasafi @officialzuchu kukataa deal la dollars $108K' ambazo ni sawa na Million 250,912,675.08/= za kitanzania kutoka kwenye kampuni ya utengenezani wa vinjwaji venye vilevi (pombe).


Wanaeleza kuwa mama yake mzazi Bi.Hadija Kopa alisha muonya mapema kuhusu kutangaza bidhaa za namna hiyo/ za vilevi.


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger