4/11/2022

Kufuru! Harusi ya Mtoto wa Beckham Yagharimu Bil. 8, Watu Maarufu Wahudhuria

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPAHARUSI ya Brooklyn Beckham; mtoto wa mwanasoka mstaafu wa Uingereza, David Beckham iliyofanyika wikiendi iliyopita imegharimu Dola za Kimarekani milioni 3.5 (zaidi ya shilingi bilioni 8.1 za Kitanzania.

Brooklyn alifunga ndoa na Nicola ambaye ni mtoto wa bilionea mkubwa wa Marekani, Nelson Peltz mwenye utajiri wa shilingi trilioni 3.7 kwa mujibu wa Jarida la Forbes.

Harusi hiyo ilihudhuriwa watu maarufu kama Serena Williams, Eva Longoria, Gordon Ramsay, Spice Girls Mel B, Mel C, Emma Bunton, Gigi Hadid, Nicole Richie, Elizabeth Hurley, Tom Brady na Gisele Bündchen.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger