4/30/2022

Kwa Mara ya Kwanza IRENE Uwoya Atoa Neno la Busara "Sisi si Kitu"


IRENE Uwoya; ni supastaa mkubwa wa Bongo Movies na mfanyabishara ambaye anasema kuwa, kuna kipindi huwa anakaa na kuwaza hasa anapohudhuria misiba na kukumbuka binadamu siyo kitu.
Uwoya anasema kuwa, cha muhimu ni binadamu kujiandaa kwa sababu hajui kesho yake itakuwaje.

“Kiukweli tunakumbushwa kuna maisha baada ya duniani na kitu cha kujifunza sana, cha muhimu ni tukumbuke tu sisi siyo kitu, Mungu ameweka siri nzito sana, cha msingi ni kuwa tayari tu kila wakati,” anasema Uwoya ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwaye Krish anayesifika kwa kula bata hadi kuku wanamuonea wivu.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger