4/06/2022

Kwa Mara ya Kwanza, Mwanadada Rihanna Ameingia Kwenye Orodha ya Mabilionea Forbes

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Kwa mara ya kwanza, Mwanadada Rihanna ameingia kwenye orodha ya mabilionea inayotolewa na Jarida la Forbes kila mwaka. Riri ametajwa kwenye nafasi ya 1,729 akiwa na utajiri wa ($1.7B) sawa na zaidi ya TSh. Trilioni 3.9

Anatajwa kuwa Bilionea wa kwanza toka visiwani Barbados, na mwanamke tajiri zaidi kwa upande wa wanamuziki wa Kike duniani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger