4/15/2022

Lemutuz Amshukia Tena Makonda "Adui yako Namba Moja Muangalie Kwenye Kioo ni Wewe Mwenyewe"


Ndio maana hata ishu ya "KUVAMIA CLOUDS" Sijawahi kutia neno hata siku moja, cause yalikuwa ni mambo yake Binafsi siyo ya CHAMA na SERIKALI ....Kuhusu KUMSHAURI AKIWA KWENYE POWER! hilo lilikuwa IMPOSSIBLE lakini I am glad kwamba leo INAWEZEKANA KUMSHAURI HATA KWA MBALI ....nia ni NJEMA kwamba ...HAELEWI KWANINI WATU WENGI WANAMCHUKIA NA WANATAKA MPAKA KUMUANGAMIZA.....na hakuna wa kumwambia TATIZO LAKE so somebody had to Stand up na kumsaidia kwamba ADUI YAKO NAMBA MOJA MUANGALIE KWENYE KIOO NI WEWE MWENYEWE ACHA KULAUMU WATU WENGINE tulikuwepo na tuliyaona lakini HAUKUWA UNASHAURIKA ......Now kurekebisha anza na wewe mwenyewe HUMBLE YOURSELF BEFORE GOD akuinue tena KUBALI ULIPOKOSEA NA ANGALIA ULIPOJIKWAA ni wapi .....ila kuishi kwa kulalamika na HUMJUI UNAYEMLALAMIKIA its UNHEALTHY na kwasababu uliamua kuyaleta kwenye Instagram ndio maana TUMEAMUA KUJIBU HAPA HAPA INSTAGRAM.....CASE CLOSED! - @lemutuz_superbrand

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger