Ticker

6/recent/ticker-posts

Masau Bwire "Yanga na Simba Waliniitaji Nikawe Msemaji wao"

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>


“Siyo Simba tu walionifuata hata Yanga mara kadhaa, kipindi cha mwisho wakati Charles Mkwasa akiwa Katibu walikuwa na Uhitaji wa Afisa Habari, Mkwasa mwenyewe aliita akaniambia niende kuwasemea Wananchi nikamwambia, Teacher Nashukuru Ngoja tuone ni nini kitatokea.

“Ukafika wakati wakawa na Uhitaji mkubwa na wakanihitaji niende pale, kuna baadhi ya watu waliamini kwa ukaribu wangu na wao wanaweza kunishawishi nikaenda pale, walikuwa wanasubiri jibu langu ili wanitangaze, nikawajibu Nashukuru lakini Kwa sasa sijawa Tayari,” Afisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ndani ya #SportsArena ya #WasafiFm

#WasafiSports

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments