Kili Paul amevamiwa na kushambuliwa na watu watano (5) kwa visu na marungu, ameweza kupambana nao wakakimbia.
Amelezwa Hospitali baada ya kushonwa nyuzi tano, Kili amesema walitaka kumpoteza lakini Mungu amaemsaidia.
Pole sana @kili_paul
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE
0 Blogger:
Post a Comment