Ticker

6/recent/ticker-posts

Mbunge amtaka Zitto aiombe msamaha familia ya JPM

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>> 
Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde amemtaka kiongozi wa chama cvha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, kuwaomba radhi Watanzania pamoja na familia ya Hayati Dkt. John Magufuli, kwa kumsema vibaya na kuwataka wanaompenda wakazikwe pembeni ya kaburi lake.

Kauli hiyo ameitoa bungeni jijini Dodoma, hii leo Aprili 22, 2022, na kusema kwamba Hayati Magufuli anapaswa kuheshimiwa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments