4/11/2022

Mbunge "Viuno vya Wanaume Havifanyi Kazi Kutokana na Matuta ya Barabarani"


Mbunge wa Viti Maalum, Bupe Mwakangata amesema wanaume Mkoa wa Rukwa viuno havifanyi kazi kutokana na matuta yaliopo katika barabara ya Tunduma hadi Rukwa kusababisha magari kuwarusha rusha.

Hivyo, ameiomba wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kupunguza matuta hayo.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger