Mchezaji Paul Pogba Ameripotiwa Kujiondoa Kwenye Kundi la WhatsApp la Wachezaji wa Man United

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mchezaji nyota wa klabu ya Manchester United Paul Pogba (29) ameripotiwa kujiondoa kwenye kundi la WhatsApp la wachezaji wa timu hiyo baada ya kupata offa ya mikataba kutoka kwenye klabu kubwa mbili barani ulaya ambazo ni Real Madrid na Juventus.


Tetesi hizo zinakuja tabrikani siku 7 baada ya Kocha Ralf Rangnick kuthibitisha kuwa Pogba atakuwa nje ya uwanja hadi mwisho wa msimu kutokana na majeraha aliyoyapata katika mchezo wao dhidi ya Liverpool.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad