Ticker

6/recent/ticker-posts

Meneja wa Ruby Afunguka Sababu ya Ruby Kusema Anataka Kufa

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>


Baada ya Msanii iamrubyafrica Kuweka Ujumbekatika Instagram yake ambao ulishtusha wengi kuwa anajiskia kupoteza Maisha ili akapumzike na ya dunia huku akiwa amefunga sehemu ya kutolea maoni hivyo wengi wakawa na maswali mengi.

Sasa kupitia kipindi cha #LEOTENA cha CLOUDS FM meneja wa iamrubyafrica Andrey Wayayu Amefunguka juu ya kinachoendelea kwa Msanii wake

“Ni jambo la kifamilia ambalo ndiyo lilikuwa linaendelea na tulijaribu kumuweka chini ili aweze kuwa sawa na tunashukuru Mungu sasa hivi anaendelea poa sio kiki wala sio stress za mapenzi


Kwenye maisha ya mwanadamu mtu anaweza akawa anapitia changamoto ila sababu ni msanii basi kile unachokipitia unaonekana ni kiki”
-

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments