Ticker

6/recent/ticker-posts

Mrema na MKEWE Waanza Honeymoon, Tazama Picha Hapa

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>Mwenyekiti wa chama cha TLP Agustino Mrema na Mkewe Doreen Wameanza rasmi safari ya kutalii katika mbuga za wanyama ikiwa ni sehemu ya kusherekea fungate lake (Honeymoon)


Mrema alitangaza kwamba atakua na ziara hiyo na kuwaomba watanzania kuungana naye katika tukio hilo akisema ni sehemu ya kusherekea ndoa yake mpya pamoja na kutangaza mbuga za wanyama na vivutio vilivyopo.


Mrema ameanza kuzuru mbuga ya Tarangire na leo atakua hifadhi ya Manyara na baadae ataelekea hifadhi ya taifa ya Ngorongoro

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments