Msemaji wa klabu ya #YangaSC, Haji Sunday Manara amefunga ndoa mapema mara baada futari ya Leo April 14 2022, ndoa iliyohudhuriwa na aliowaalika tu ambapo miongoni mwa walioalikwa ni, @HamisaMobetto, @esha.s.buheti na mtangazaji @zamaradimketema.
Katika ndoa hiyo iliyofungwa na mwanamke ambaye kwa taarifa za awali inaelezea kuwa ni Aliyekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda sasa pia viongozi kadhaa wa klabu hiyo na marafiki zake wachache wamealikwa.
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA