4/26/2022

Msemaji wa Yanga Haji Manara Ashutumiwa Kuingia Choo Cha Kike Baada ya Kufanya Conference Akiwa Amevaa Mavazi ya Kike ya Kimasai


Siku moja baada ya Msemaji wa Yanga Haji Manara kuongea na Waandishi wa Habari akiwa amevalia mavazi ya Kimasai, hoja imeibuka kuwa mavazi ya aina ile ni ya jinsi ya Kike katika tamaduni za Kimasai.

Baadhi ya Wamasai walioulizwa kuhusu ukweli wa jambo hilo wamedhibitisha kuwa mavazi yale kweli ni ya Kike na amewaabisha Wanaume wakimasai.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger