Mwanamuziki Barnaba Kumvisha Pete ya Uchumba Mpenzi Wake Raya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwimbaji nyota wa bongofleva @barnabaclassic yupo mbioni kuufungua ukurasa mwingine wa mapenzi kwa tukio la kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi bibie @rayatheboss ikiwa ni kiashirio cha kuelekea katika ndoa.


Barnaba amebainisha ujio wa jambo hilo la kheri kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kushare picha ya pete mbili na kuwapa nafasi mashabiki wake wamchagulie ipi itafaa kumvisha mpenzi wake huyo.

"Ipi itafaa, she says Yes💍" - ameandika Barnaba.


Uhusiano wa wawili hao ulianza mwaka 2018 baada ya Barnaba kuachana na aliyekuwa mpenzi wake.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad