4/18/2022

Netflix Yafunguliwa Kesi Urusi Baada ya Kufungwa Ghafla


Watumiaji wa Netflix Nchini Urusi wamefungua kesi dhidi ya NETFLIX baada ya huduma zao kusitishwa nchini humo. Watumiaji wa huduma hio ambao tayari walisha lipia wamedai fidia ya dola 726,000 USD. Netflix ina wateja wasiopungua Milioni moja nchini Urusi.

Tambua NETFLIX ilisitisha huduma zake nchini Humo March 2022 kama hatua ya kupinga uvamizi wa kivita wa Urusi dhidi ya Ukraine.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger