4/22/2022

Neymar Afunguka Anavyofurahia Penzi la Mpenzi Wake Mpya Bruna BiancardiSUPASTAA wa soka, Mbrazili, Neymar Jr, amefunguka jinsi anavyompenda mpenzi wake mpya, Bruna Biancardi, walipokuwa wakisherehekea bethdei ya mrembo huyo kutimiza miaka 28 juzi.

 

Neymar, 30, aliandika: “Bruh, mzuri. Nakutakia mema yote katika dunia hii, nakuombea utimize malengo yako yote. Siku ni yako lakini zawadi ni yetu. Kwa hiyo nina furaha kuwa nawe maishani mwangu. Nakupenda.”

 

Awali, Bruna alimshukuru Neymar kwa kuipa umaalum bethdei yake. “Nakupenda,” aliandika Bruna.
GPL

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger