Ni headlines za mwanamuziki Harmonize ambae bado ameendelea kuweka wazi juu ya kuhitaji msamaha kwa aliyekua mpenzi wake Kajala Masanja ambapo safari ameamua kununua gari aina gari aina Range Rover ikiwa na plate namba zenye jina lake Kajala 1, kama njia ya kuendelea kumuomba msamaha.
Kupitia ukurasa wake wa instagram Harmonize ameshare sehemu ya video ikionesha gari hilo na kuandika maneno ya kuomba msamaha.
Toa Maoni yako:
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA