Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPA
Mwanza. Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Mwanza
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita,Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
0 Blogger:
Post a Comment